Kanye west asimamisha kazi zake ili kumuuguza baba yake

Kutokukuzwa siyo tatizo kama hakukuwa na mens rea "nia ovu" nazungumzia kumthsmini mtoto, hapa nazungumzia wazazi wanaowatenga watoto wao na kuamua kutowathamini kwa makusudi. Nyie watoto wa "dady" hamuwezi kujua jinsi wazee wengine wanavyoshusha mioyo. Pilipili usiyoila huwezi jua uchungu wake
...nimekuelewa mkuu,ila hata mama zenu wanachangia sana hayo yaliyokukuta..pole sana
....nimejaribu kuwa mkweli kuhusu wamama kuchangia vitu kama hivyo ,-sorry kwa waliokwazika na hili
 
Unachoongea hakina ukweli na uhalisia, wewe zaa mtoto umtelekeze au usimhudumie au umtenge au umtupe halafu baada ya kufanikiwa na kuwa mkubwa jitokeze uone kama thamani yako kama mzazi itakuwa palepale. Sikatai kuwa mzazi atabaki kuwa mzazi lakini thamani yake inategemeana na yeye mwenyewe alivyokuthamini mzazi anayemthamini mtoto wake hawezi kuwa sawa thamani yake na mzazi asiyethamini mwanaye.

Tuweni realistic Diamond hajamkataa baba yake ila thamani ya baba yake kwa diamond imeshuka ukilinganisha na mama yake.
Ni kiburi tu cha mafanikio, ila sijaona sababu kubwa ya kumfanya Mondi kumuacha baba yake wa kumzaa akipigika wakati ana uwezo wa kumsaidia. Hata kama alimtelekeza, anapaswa kumsamehe na kurudisha upendo kwa baba yake, isitoshe yule mzee alishakubali makosa yake. Ninachokiona(Huu ni mtazamo wangu) Mondi amepandikizwa chuki kali na mama yake dhidi ya baba yake.
 
...nimekuelewa mkuu,ila hata mama zenu wanachangia sana hayo yaliyokukuta..pole sana
....nimejaribu kuwa mkweli kuhusu wamama kuchangia vitu kama hivyo ,-sorry kwa waliokwazika na hili
Mkuu ninaongea kutokana na experience. Ndiyo maana nimesema ni rahisi kuongea kama hujapitia au unaona kwa mwingine.

Jaribu kufikiria katika vitu vidogo tu watu wawili wakikoseana kuna kuwa na ugumu mkubwa sana wa kusamehe na wakati ukiangalia kitu chenyewe ni kidogo sana.

Sasa mkuu ukiileta hii kwa mzazi baba au mama akutelekeze au asikuthamini kiasi cha kuyaharibu maisha au ndoto yako hiyo itakuwa ni life experience ya muda mrefu maana lazima impact ni ya muda mrefu na sometimes kutakuwa na series of events and hards time ambazo mtoto amepitia kwa muda. Inawezekana kusamehe kabisa lakini siyo sawa kwamba eti thamani ya mzazi kama huyo kwa mtoto wake itakuwa vile vile. Mzazi atakuwa ni sawa na bidhaa Fulani isiyo na ubora.
Ni kweli sisi kama wanaume kuna compelling situations tunapitia lakini mimi naamini kama mzazi atakuwa justifications nzuri za kilichotokea basi ataeleweka japo pia thamani yake haiwezi ikawa sawa.

Pia kuna mama zetu wanatupa watoto chooni nao wakiulizwa wanasema wanaume wanachangia tehetehetehe.

Mwisho mzazi ni mzazi tu huwezi ukabadilisha unaweza ukapata mlezi mwingine lakini si mzazi lakini thamani ya mzazi inatofautiana. Mama aliyetupa mtoto jalalani hawezi kuwa na thamani sawa na mama aliyemlea kwa upendo mwanaye.
 
Ni kiburi tu cha mafanikio, ila sijaona sababu kubwa ya kumfanya Mondi kumuacha baba yake wa kumzaa akipigika wakati ana uwezo wa kumsaidia. Hata kama alimtelekeza, anapaswa kumsamehe na kurudisha upendo kwa baba yake, isitoshe yule mzee alishakubali makosa yake. Ninachokiona(Huu ni mtazamo wangu) Mondi amepandikizwa chuki kali na mama yake dhidi ya baba yake.
Hahaha siyo chuki na siamini kama diamond ana chuki na baba yake kilichopo ni kwamba hamthamini mzee wake. Kuna tofauti kati ya kumchukia baba yako au wazazi wako na kutowathamini. Na sababu ya kutomthamini sana baba yake ni kwa sababu mzee hakumthamini hiyo imepelekea umuhimu wake kwa mtoto pia kupotea. Ukisema chuki tunakosea hivi wewe katika ukoo wako hakuna ndugu ambao huwathamini? Najua utasema huna uwezo hata matajiri hawathamini ukoo mzima kuna kuwepo na kakikundi ka ndugu kanakofaidi matunda ya bilionea. Na kuthaminiwa kwa kakundi hako kunategemea zaidi walivyomthamini bilionea husika kabla ya kufika hapo ni kama kulipa fadhira hivyo hatuwezi kusema huyu bilionea ana chuki na asiowasaidia.

Hivi ni watoto wangapi wamefanikiwa huku mjini lakini hawawathamini wazazi wao waliowalea kule kijijini wanahangaika? Je tuseme wana chuki? Kutothamini mtu kunatokana na mambo mengi japo mwingine anaweza asiwe na sababu ya msingi ya kutowathamini wazazi wake.

Wema ni akiba
 
Haya sawa
 
...hivi kwa tabia za yule mama yake Mondi unaweza ishi naye kwa maelewano..?..mama mswahili hasa kiasi ambacho mpaka anakera.
....huyo Mondi angefikiria hiko kidogo ya tabia za mama yake zilivyo za hovyo akili ingemkaa sawa kuhusu mshua wake
....by the way-mbona yeye kapelekwa ustawi wa jamii kwa the same thing na Mabetho,-ajifunze wanawake wengine ni hopeless kiasi cha kukera
 
Back
Top Bottom