Kanye West azua kizaa zaa

Kanye West azua kizaa zaa

Ingekuwa tz,video isgafungiwa na wale BASATA,pia Kanye angekuwa ndani kwa sheria ya mtandao kama yule dogo wa Arusha.
 
Ila hizo sio picha halisi.. I mean ni art na hao walioko kwenye hio clip sio wahusika wenyewe...
But very creative
Kwani nani kasema ni picha halisi jamani mbona mnapenda kuleta ujuaji kwenye vitu vilivyo wazi.
 
Kweli kizaa zaa emu tujaribu kuweka watu maarufu wa Afrika katika pigo hizo tuone msala wake
 
Hapa ndio napata picha kuwa BASATA walimuonea AY na lile songi lake lililopigwa marufuku kuonyeshwa kwenye luninga,na kama Kanye West angekuwa hapa bongo wangemnyonga.
 
Back
Top Bottom