Kanye West azua kizaa zaa

Kanye West azua kizaa zaa

Obama alishawahi kumuita Kanye West...a Jackass!! Looks like it. Ha ha ha
 
Hao sio wenyewe bali ni clone au watu wanao fanan na hao uliowataja hapo juu
 
Wabongo bhana,hapa Kanye kazionyesha kabisa picha za hao watu wanamsifia lakini Nay wa mitego kawataja tu majina kero eti ooh anatafuta kiki kwa wenzake.
 
Back
Top Bottom