ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Trump Ameokoka na anampenda Bwana.Storm Daniels ndo trump alipita nae?
Hii Ni Dalili Tosha Ya Siku Za Mwisho Jamani, Tuokokage Tu Kwa Kweli Hakuna Namna.Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.
Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga.
Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu wa porno Kwa hiyo ni coming soon hayo ndio yanaoendelea huko majuu.
Atangaze ajira kwa actors and actressesRapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.
Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga.
Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu wa porno Kwa hiyo ni coming soon hayo ndio yanaoendelea huko majuu.
Hakuna siku ya mwisho kwa wote mkuu, kila mtu ana siku yake ya mwisho.Hii Ni Dalili Tosha Ya Siku Za Mwisho Jamani, Tuokokage Tu Kwa Kweli Hakuna Namna.
Ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya 🤗Trump Ameokoka na anampenda Bwana.
Yule yupo kama sio binadamuSijui kwanini bado nadhani Kanye West ni kama anatatizo la Saikolojia
Kuna wakati alitangaza kuanzisha Biblia yake sijui hii Project kama ilifika mwisho sasa amehamia kwenye Project ya kuanza kutengeneza picha za ngono🙌
Anyways, sisi hatuna shida tunawasha VPN kuangalia Mkewe anavyopigwa mambo na akina Adriano 😜
Nadhani itakuwa Kuna nati hazishiki kichwani mwakeYule yupo kama sio binadamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi zitakuwa nzuri sana maana namkubali sana kanye na ukochana wake