Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.

Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga.

Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu wa porno Kwa hiyo ni coming soon hayo ndio yanaoendelea huko majuu.
 
Hii Ni Dalili Tosha Ya Siku Za Mwisho Jamani, Tuokokage Tu Kwa Kweli Hakuna Namna.
 
Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.

Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga.

Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu wa porno Kwa hiyo ni coming soon hayo ndio yanaoendelea huko majuu.
Atangaze ajira kwa actors and actresses
 
Nahisi zitakuwa nzuri sana maana namkubali sana kanye na ukochana wake
 
Sijui kwanini bado nadhani Kanye West ni kama anatatizo la Saikolojia

Kuna wakati alitangaza kuanzisha Biblia yake sijui hii Project kama ilifika mwisho sasa amehamia kwenye Project ya kuanza kutengeneza picha za ngono🙌

Anyways, sisi hatuna shida tunawasha VPN kuangalia Mkewe anavyopigwa mambo na akina Adriano 😜
 
Yule yupo kama sio binadamu
 
Hata jayz longtime asharekodigi interview yake moja na watu wa porn huku pembeni madem wakinyonyana K

Ova
 
Agent of satanism
Porn.jpg
 
Back
Top Bottom