Mkuu siamini hadi nione video, tupia Kule jukwaa pendwa, usisahau kunitag lakiniDem wake anamzingua kuna kideo anapigwa bonge la ndonya dah tena mtandao pendwa jamaa anajitahidi sana kuzuia uchizi
Mfananishe na papaa mafido..angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
ni wafupi aisee mimi mwenyew nimeshangaaMi naona yuko poa ,sikujua kama wafupi lo
KudosKwa jicho LA kawaida utamuona ngosha ila kwa mtazamo wa fashion utagundua jamaa amewaka sana amependeza aan kwan kwenye fashion kuna kitu ambcho tunakzngatia wachache ambcho knaitwa FOCUS OF ATTENTION yaan uvae vipi ili uteke umakini was watu hata kama mkiwa mmeongozana watu zaidi ya kumi hapo KANYE WEST amezngatia hcho na amefanikiwa then hatimae amekua trending of the day ktka mitandao ya kijamii
#dentex13
mi-vikukuWakwetu hapa micheni kibao
Mipete
Hereni
sio wafupi mkuu,ila wamepiga picha na mtu mrefu..!!ni wafupi aisee mimi mwenyew nimeshangaa
Mkuu wana kimo cha wastan sana ... na hapo kim ndio kavaa kiatu kirefu ..sio wafupi mkuu,ila wamepiga picha na mtu mrefu..!!
ila huo msumari wa katikati nimeuelewa aisee
Sio wafupi ila hapo wamekutana na mama mrefu sana mwenye asili ya Kinyarwanda member wa familia ya M7.Mi naona yuko poa ,sikujua kama wafupi lo
Huo wa msumari ni mtoto wa mzee baba wa UG.sio wafupi mkuu,ila wamepiga picha na mtu mrefu..!!
ila huo msumari wa katikati nimeuelewa aisee
HahahahahaIla wenzetu wako overrated sana Aisee " Ati huyo kim hapo Ndiye wanaye msemaga kuwa ana msambwanda".. ina maana sanchoka hawajamuona Au !!?
Huo uliosimama kati yaoMkuu wana kimo cha wastan sana ... na hapo kim ndio kavaa kiatu kirefu ..
mstari upi huo chief !!!?
Yeaah demu mkali sana ... kama kina kanye wangekuwa sio famous tungesema ni escorter wa huyo demHuo uliosimama kati yao
Aah!!, sema wewe mwenyew " Uwongo !??Hahahahaha
Wamezoea kuona mwanaume anavaa vinguo vya kubana bana ndio ujanja loHilo shati ni mshahara wako mwezi mzima
wee mbona umekazana ni kichaa?? Unajua kama na ww una kichaa ambacho huwezi jua kama kinaweza kulipuka any time??Huyo kichaa hata akiwa Marekani anavaa hivyo hivyo tena wakai mwingine anakuwa anavaa hata na gauni. Huyu dogo akimbizwe tu Milembe, uchizi unamuanza.