Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
wanaboa sana na vijisuruwale vyao kama tight bamba za kikeWamezoea kuona mwanaume anavaa vinguo vya kubana bana ndio ujanja lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaboa sana na vijisuruwale vyao kama tight bamba za kikeWamezoea kuona mwanaume anavaa vinguo vya kubana bana ndio ujanja lo
Waambie hao[emoji23][emoji23]Unaweza kuta hizo mbuti ni $1500 yale maviatu yake ya Yeezus yana bei hatari mkuu cheki hata kuna viatu vinaitwa Hermes ni vya kawaida sana lakini bei ni $700
Jamaa anaona mbuti tu za kiboya, mfano Hermes hizo apoWaambie hao[emoji23][emoji23]
Mtumba?!!! You must be kiddingangalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Huyu aende pale Splash, Aulize bei ya shat afu aje.Wamezoea kuona mwanaume anavaa vinguo vya kubana bana ndio ujanja lo
Jamaa kakodi hoteli nzima Uganda. Five star!! Ndio the sexy Kim 'katembea' na mastaa kadhaa lakini Kanye kamuoa na kumzalisha kabisa. Tell me who won? Kanye mjanja bwana kachukua bonge la demu.
Kim's past has passed. They move on
Wa iwanga au iwalaHuyo ni ndugu yetu msafwa wa Iziwa Mbeya.
[emoji23][emoji23][emoji23] aje atuambieHuyu aende pale Splash, Aulize bei ya shat afu aje.
Ashazoea mitumba ya karume na chupa za diamond
kuvaa unafikiria wewe,mke wa Obama alivyokuja si jliona usimple wake nduguangalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Hivi anajua kuwa jina lake kwa kiswahili linamhimiza kuwa akanye magharibi?Safi sana huyo ndiye Kanye a.k.a Ye .. mzee wa turn up the lights here baby "... namuelewa Sana huyo mnyamwezi
nadhani anajua ndio maana kaamua kutoa Kan " na kuanza kutumia YeHivi anajua kuwa jina lake kwa kiswahili linamhimiza kuwa akanye magharibi?
duhkuvaa unafikiria wewe,mke wa Obama alivyokuja si jliona usimple wake ndugu
mzee museveni alimwamnadhani anajua ndio maana kaamua kutoa Kan " na kuanza kutumia Ye
mkuu huoni hizo shati na suruali mtumba kabisa?, elfu 5 ilala bomaMtumba?!!! You must be kidding
musseven kamfanyaje !!?mzee museveni alimwam
mkuu huoni hizo shati na suruali mtumba kabisa?, elfu 5 ilala boma
Wewe ndio kichaaKavaa viel ni kwa sababu yeye ni kichaa.