Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

Hao maranyingi ikiwa past ni past,lakini huku bongo,yaani kama ukioa mdada na katembea na wanaume 30(hapo aliyebikiri hana mjadala akitaka kumlala),yaani atakua anafanya juu chini apashe kiporo.

Nadhani baada yakumjua vizuri,ndomana kamuoa.
Jamaa kakodi hoteli nzima Uganda. Five star!! Ndio the sexy Kim 'katembea' na mastaa kadhaa lakini Kanye kamuoa na kumzalisha kabisa. Tell me who won? Kanye mjanja bwana kachukua bonge la demu.
Kim's past has passed. They move on
 
Mkuu inabidi mwanaume avae kiume kinamna siyo vinguo kama vya mdogo wako wa secondary.

Vile hujui tu, mwanaume kujiremba sana na kuhangaikia sana mavazi haiwavutii akina dada wengi.

Hakikisha mavazi unayovaa yanakufanya unaonekana kiume zaidi.

Yani kama simba vile.
 
Safi sana huyo ndiye Kanye a.k.a Ye .. mzee wa turn up the lights here baby "... namuelewa Sana huyo mnyamwezi
Hivi anajua kuwa jina lake kwa kiswahili linamhimiza kuwa akanye magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…