Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

Dem wake anamzingua kuna kideo anapigwa bonge la ndonya dah tena mtandao pendwa jamaa anajitahidi sana kuzuia uchizi
weka link mkuu tuone hiyo kideo siamini hicho unachosema wakati yule ni mke wa mtu
 
angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Kazi muhimu ya nguo ni kukustahi inavyostahili, yawezekana ukahitimisha kutokana na ukosefu wa uelewa wa mavazi(brand) aliyovaa, angalau ungetuambia bei ya hizo vitu kwanza ili niweze kuchangia vizuri kwa kulinganisha na utajiri wake, yawezekana ukasema amevaa kimaskini ilihali hiyo shati inauzwa $1000 ama zaidi! Pale Posta mpya palikuwa na duka linaitwa Joshua International, kama uliwahi fika pale ama wenye walikuwa wateja wanaelewa nachomaanisha..
 
nimewahi kufika basi?? ndo kwanza napasikia
 
duuh noma sana mzee
Celebrities wa majuu wanavaa brand tu ama wana designers, hapo Kanye unaweza kuta ameelekezwa kuvaa hivyo kulingana na mazingira ya shughuli iliyomleta, kuna wakati britney spears alionekana amevaa gauni na wajuzi wa mambo walisema linagharimu Mil 22 za kitanzania, ila kwa haraka haraka kwa macho yetu ya kibongo ungedhania elfu 60!
 
Umaskini wa fikra hauwezi kutuisha sisi wa Tz, angekua ni mzungu sifa kedekede, sijui kwa vile watu hawatoki na kuona duniani watu wanaishije!!?

Anyway, ungejua kilichompeleka huko wala usinge hoji uvaaji wake/wao.
huwezi kukutana na watoto yatima ukawa umevaa macheni, mavikuku, huwezi kutembelea mbugani umevaa sendoz na short pant, lazima uendane na mazingira otherwise you will look pathetic and dump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…