Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 16, 2014 #1 Kanye West na Kim Kardashian wamekataa dau linalofika dola milioni 11 kutoka kwa majarida mbalimbali ya kimataifa kuuza picha zao za harusi iliyofanyika May 24 nchini Italia
Kanye West na Kim Kardashian wamekataa dau linalofika dola milioni 11 kutoka kwa majarida mbalimbali ya kimataifa kuuza picha zao za harusi iliyofanyika May 24 nchini Italia
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 585 Jun 16, 2014 #2 Hawana njaa ukizitaka uwende kwao ukamsalimie utapewa albam uangalie.
Sir Good JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 1,031 Reaction score 412 Jun 16, 2014 #3 Duh! umaarufu kweli raha!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Jun 17, 2014 #4 theki said: Hawana njaa ukizitaka uwende kwao ukamsalimie utapewa albam uangalie. Click to expand... Utakomea getini nakuambiaa
theki said: Hawana njaa ukizitaka uwende kwao ukamsalimie utapewa albam uangalie. Click to expand... Utakomea getini nakuambiaa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Jun 17, 2014 #5 Sir Good said: Duh! umaarufu kweli raha! Click to expand... Tena umaarufu wa mamtoni ni balaa ni wa pesa tu
Sir Good said: Duh! umaarufu kweli raha! Click to expand... Tena umaarufu wa mamtoni ni balaa ni wa pesa tu
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Jun 17, 2014 #6 Dinazarde said: Tena umaarufu wa mamtoni ni balaa ni wa pesa tu Click to expand... hapa kwetu bongo umaarufu kunuka km vtunguu swaumu
Dinazarde said: Tena umaarufu wa mamtoni ni balaa ni wa pesa tu Click to expand... hapa kwetu bongo umaarufu kunuka km vtunguu swaumu
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 Jun 17, 2014 #7 geniveros said: hapa kwetu bongo umaarufu kunuka km vtunguu swaumu Click to expand... Hahahahaha jamani watu mna maneno
geniveros said: hapa kwetu bongo umaarufu kunuka km vtunguu swaumu Click to expand... Hahahahaha jamani watu mna maneno