Kanye West na Kim Kardashian wamekataa dau la kutokea kwenye magazeti

Kanye West na Kim Kardashian wamekataa dau la kutokea kwenye magazeti

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Kanye West na Kim Kardashian wamekataa dau linalofika dola milioni 11 kutoka kwa majarida mbalimbali ya kimataifa kuuza picha zao za harusi iliyofanyika May 24 nchini Italia
 
Hawana njaa ukizitaka uwende kwao ukamsalimie utapewa albam uangalie.
 
Back
Top Bottom