Kanye West na mkewe Bianca wakielekea studio jana usiku

Kanye West na mkewe Bianca wakielekea studio jana usiku

Kuna namna huyo kanye magharibi ni kama alishawahi kupigwa na malaria kali utotoni ikamviruga ubongo......sasa hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavosonga........unless labda iwe ni mambo ya "kuuza nafsi zao"
 
Huyu jamaa likimvaa sekeseke la sexual harassment huyu mkewe atakuwa wa kwanza kuwa shahidi😃
 
Back
Top Bottom