Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Doh hio nguo ya mwanamke ya juu sasa uchi mtupu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasema wendawazimu
Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe MtumishiKabisa...maana
Amiin ππ½Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe Mtumishi
Sababu hawajiheshimu wenyewe.Ye kajaladia kabisa fresh tu.. ila wanawake hii dunia haijawahi kuwaheshimu hta kdgo
Kwamba Kanye West katekwa kimahaba na Yezebeli kiushirikina?Hao wamekuwa bewitched na familia ya Kim K.
Watu wa rohoni tunaelewa alafu hawatazaa yaani cjui labda wafanye nn
Kanye West ndiye role model wa Wanachuga.Huu ni muonekano wa Kanye West na mkewe Bianca wakionekana wakielekea studio huko Marekani jana usiku.
NB: Wamependeza hawajapendeza?View attachment 2898033