Kanye West: Prayers are not working

Japo Mimi sio Atheist lakini Atheist hawezi kujiua kwa sababu hawezi kuwa disappointed by a higher spiritual being kama ninyi watu wa dini. Wewe mambo yako yakikwama sana inaweza kukufanya uamini umelogwa au Mungu amekuacha. Atheist hawezi kuwaza hivyo
Mzee utapiga kelele ila mpo wachache ,atheist ilikuwa America kwa sasa inapungua watu wanaingia kweny dini kwa sana.

Ndio maana sio logic kuleta quote ya Kanye west ,unajifunga bro acheni stress ndio mnaongoza kwa kujiua😂😂
 
Jay Z ndo msanii nayeweza kumsikiliza.

Prayer is real and is work out.
 
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
 
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Sio kweli hao unawazungumzia watu wa dini. Mtu wa dini akiona mwenzake amebarikiwa yeye hajabarikiwa anaanza chuki na mfano mzuri ni wa Kaini ma Habili.

Hakuna watu wenye amani kama Atheist kwa sababu they dont expect any kind of blessing from any kind of God
 
Je alikuwa anaongelea prayers za akina nani hao? maana neno THEM linabeba maana nzima.

Je maombi ya hatters au wafuasi?
 
Hakuna kitu kama hicho kwa hile husda inakatazwa
 
Kitendo tu cha kuomba kinadhihirisha kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo,

Mungu huyo aliyejaa upendo kamili hapaswi kusubiri kuombwa mazuri kutoka kwa viumbe wake ilihali anafahamu shida zao.

That is a logical contradiction.
 
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Theist hawafi?

Kati ya waamini na wasioamini wabinafsi ni wapi kama siyo hao waamini?

Unaushuhuda juu ya tuhuma zako ili kusupport hoja yako?
 
Theist hawafi?

Kati ya waamini na wasioamini wabinafsi ni wapi kama siyo hao waamini?

Unaushuhuda juu ya tuhuma zako ili kusupport hoja yako?
Ebu jaribu tafute mtandaon hiyo research.
 
kumbe mgeni ? Mbona zipo ! Tumia hta simu kutafuta
Huna hoja boss

Kama zipo ulipaswa kuzileta hapa.

Hizo ni mbambamba tu kupalilia uongo wako.

Hujaweza hata kujibu swali langu.

Unapiga kona tu,

Swali liko pale pale

Theist hawafi?
 
Huna hoja boss

Kama zipo ulipaswa kuzileta hapa.

Hizo ni mbambamba tu kupalilia uongo wako.

Hujaweza hata kujibu swali langu.

Unapiga kona tu,

Swali liko pale pale

Theist hawafi?
Nyie ndio shobo kibao , mtu akitaja Mungu mnawasha kama mmeitwa
 
Nyie ndio shobo kibao , mtu akitaja Mungu mnawasha kama mmeitwa
Hujajibu swali nlilokuuliza, zaidi unaleta tuhuma zisizo na ustadi wowote ule.

Jibu swali la mjadala

Theist hawafi!?
 
Hujajibu swali nlilokuuliza, zaidi unaleta tuhuma zisizo na ustadi wowote ule.

Jibu swali la mjadala

Theist hawafi!?

Uwe unafuatilia mitandao mikubwa sio kuleta ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…