Kanye West: Prayers are not working

Kanye West: Prayers are not working

Unaelewa maana upumbavu?

Upumbavu maana yake ni kukosa ueledi, kukosa/ kushindwa kujifunza, kushindwa kuelewa au kung'amua mambo/jambo. Ikiwemo wewe kushindwa kuelewa kuwa kushindwa kwako kuonesha utofauti wa uelevu na upumbavu katika hoja nliyokupa

Upumbavu pia unajidhihirisha pale unapoleta hoja zenye kuonesha upumbavu wako na unaoneshwa upumbavu ulipo na unashindwa kuzitetea kwani kitendo hicho kinathibitisha namna ulivyoshindwa kujifunza na kuchanganua mambo.

Upumbavu mwingine katika mjadala ni kushindwa kuelewa mada ilipo.

Unaweza kunijibu swali langu

Theist hawafi?
 
Wewe ndo mpumbavu tena huelewi yaani nakupa maelezo huelewi ,kifupi ni "mjinga"

Nimekuambia wanaongoza kwa kujiua (suicidal case) ,sasa unabisha hata kitu hauna uelewa nacho, rudia kusoma acha ubishi maandazi.!
 
Mjadala uko hapa
Ukiletewa uelevu na upumbavu utaweza kutofautisha!?

Hoja yako kusema kuwa Atheist ni wabinafsi na ndyo maana wanakufa kisha ukaulizwa theist hawafi na ukashindwa kujibu,

Huo ni uelevu au ni upumbavu!?
Theist hawafi!?

Jibu haoa tujue ueledi wako mheshimiwa.
 
Mjadala uko hapa

Theist hawafi!?

Jibu haoa tujue ueledi wako mheshimiwa.
Huelewi soma hapo😅ishu ni kujiua ,eti unauliza thesists hawafi ? Hamna collocation kabisa .

Unauliza hivi unajibu hivi.
 
Mkuu uhusiano uko hapa kwenye hoja yako kuu,
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Nami nmekuuliza,

Je Theist hawafi!?

Au swali hili ni gumu?
 
Kuomba ni namna tu ya kujifariji kwamba matamanio yako yatakuwa kweli siku moja.

Ukifanyia kazi, unaweza kufanikiwa, ukibweteka pia hakuna kitakachotokea.
 
Mkuu uhusiano uko hapa kwenye hoja yako kuu,

Nami nmekuuliza,

Je Theist hawafi!?

Au swali hili ni gumu?
"Wanakufa wanapenda mambo yanyooke kwao" nina maana ndio wanaongoza kujinyonga kwa sababu ya depression ndio point yangu.

Nakuja pale pale elewa kwanza ndio ujibu .!
 
Sasa hilo ni jibu la swali langu kweli,

Sasa unadhan kuna haja gani ya mimi kuendeleza mjadala nawe kama nmekuuliza swali na umeshindwa kuelewa nnachokuuliza!?

Unanihakikishia vipi kama hoja nnazokupa utanielewa?
 
Swali langu linahitaji uwaongelee theist,

Je wao hawafi?
 
Sasa hilo ni jibu la swali langu kweli,

Sasa unadhan kuna haja gani ya mimi kuendeleza mjadala nawe kama nmekuuliza swali na umeshindwa kuelewa nnachokuuliza!?

Unanihakikishia vipi kama hoja nnazokupa utanielewa?
Mnaongoza kujinyonga hamna maelezo ,unajichetua tu 😅😅
 
Je kuna sehemu umeonesha kuwa hao atheist ndo wanaongoza kwa kujinyonga zaidi ya kuwa umeonesha kuwa nchi zenye kuongozwa kidini (Religious country) zina rate ndogo tu ya suicide!?

Unaelewa hata hiyo taarifa uliyoileta humu haithibitishi kauli yako kuwa atheists ndo wanajinyonga ila inaonesha tu kuwa nchi za kidini zina rate ndogo ya watu kujiua.. Unaelewa hii point!??
 
Sasa unabisha nn ?🤣🤣Huo ndio ukweli ,tafuta mtu mzima muulize kama ulikuwa hujui
 
Kaa kimya!
Maana huelew kuwa kuna nchi nyingi zisizo za kidini ikiwemo Tanzania yetu, pamoja na kuwa na idadi kubwa ya waamini lakini rate ya matukio ya kujiua ikawa juu.

Hapo inauhusiano gani na atheist kuongoza kujiua.

Najenga hoja, mtu unabisha tu bila kuonesha hoja yako ilipo..

Unadhani ni mjadala wenye afya huo!?

Ila ungeweza kunijibu swali langu moja tu ingalikuwa vyema sana.
Swali hili limekuchemsha

Theist hawafi!?
 
Back
Top Bottom