Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Unaelewa maana upumbavu?
Upumbavu maana yake ni kukosa ueledi, kukosa/ kushindwa kujifunza, kushindwa kuelewa au kung'amua mambo/jambo. Ikiwemo wewe kushindwa kuelewa kuwa kushindwa kwako kuonesha utofauti wa uelevu na upumbavu katika hoja nliyokupa
Upumbavu pia unajidhihirisha pale unapoleta hoja zenye kuonesha upumbavu wako na unaoneshwa upumbavu ulipo na unashindwa kuzitetea kwani kitendo hicho kinathibitisha namna ulivyoshindwa kujifunza na kuchanganua mambo.
Upumbavu mwingine katika mjadala ni kushindwa kuelewa mada ilipo.
Unaweza kunijibu swali langu
Theist hawafi?