kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
I don't think he gonna perform. Maybe recording a videoKanye hata mimi namfagilia huyo ni big fan wa D.Trump kama mimi, atakuwa lini Nairobi niende kumuona? Ataperform au itakuwaje, vipi kiingilio cha show yake shilingi ngapi?
πππππNani anataka kutekwa?
AmepatikanaTupo busy kukamata wawekezaji....
Tupo busy kuua wahalifu....
Tupo busy kumtafuta Mo....
Ilikuwa kwenye ratiba yake kutembelea TZ?? Ama kila anayefika kenya ni lazima aje na TZ.. Mbona last yr alikuja Bill gate huku TZ na hakufika Ke. Ni kitu cha kawaidaWale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
ππππ
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
Ilikuwa kwenye ratiba yake kutembelea TZ?? Ama kila anayefika kenya ni lazima aje na TZ.. Mbona last yr alikuja Bill gate huku TZ na hakufika Ke. Ni kitu cha kawaida
Hateeeer!!!!Kanye kwa kiswahili nadhani unajua, atakuja kuwanyea wakenya
Huku kutekana kutatuponza aisei..!Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
ππππ
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
Mwache Kanye aende Kenya ili akanye, si hatuna vyoo vya porini.Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?