kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
😀😀😀🙂
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.