Uko kwao USA watu weusi wenyewe hawataki ata kumsikia msaliti uyo sasa sisi wa niniWale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
๐๐๐๐
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]1:Kanye kanya Kenya.
2:Kanye kunya Kenya.
3:Kenya kanya Kanye.
4:Kanya Kanye Kenya.
Ipi sentesi sahihi?
[emoji23] [emoji23]1:Kanye kanya Kenya.
2:Kanye kunya Kenya.
3:Kenya kanya Kanye.
4:Kanya Kanye Kenya.
Ipi sentesi sahihi?
Hana dili huyoWale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
๐๐๐๐
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nani anataka kutekwa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] We've got social media Navy and Air Force.Wabongo na mapovu. Ingekuwa anakuja kwao geuza ulale angefungua nyuzi kumi
Ati Nairobi New York u will still have to wait!Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
๐๐๐๐
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
Lol[emoji2] [emoji2] [emoji2] We've got social media Navy and Air Force.
WaTz ni wazuri sana katika sector hiyo
Ilikuwa kwenye ratiba yake kutembelea TZ?? Ama kila anayefika kenya ni lazima aje na TZ.. Mbona last yr alikuja Bill gate huku TZ na hakufika Ke. Ni kitu cha kawaida
pia billionaire wa abramovich alifika tz je ke alifikaa!! ๐๐Ilikuwa kwenye ratiba yake kutembelea TZ?? Ama kila anayefika kenya ni lazima aje na TZ.. Mbona last yr alikuja Bill gate huku TZ na hakufika Ke. Ni kitu cha kawaida
1:Kanye kanya Kenya.
2:Kanye kunya Kenya.
3:Kenya kanya Kanye.
4:Kanya Kanye Kenya.
Ipi sentesi sahihi? hahahahahahah
Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
๐๐๐๐
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
Wake za watu hamruhusiwi kwenda kumuona kanye westKanye hata mimi namfagilia huyo ni big fan wa D.Trump kama mimi, atakuwa lini Nairobi niende kumuona? Ataperform au itakuwaje, vipi kiingilio cha show yake shilingi ngapi?