Kanye West

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Kinachoendele kati ya taasisi kubwa/ matajiri "business people" na rapa kanye west kinatafakarisha sana. Kwanza kabisa hivi leo mashabiki wameanzisha kampeni ya kumchangia pesa ili awe bilionea tena. ni mapenzi hayo. Lakini Kanye kakosea wapi? kusema ukweli hadharani kumemponza. Wengi hawapendi kukosolewa. Nimesikiliza interview yake moja anaelezea namna ambavyo wayahudi wasijifanye kuwa wao ndio race/watu walioonewa kuliko wote duniani baada. Wasijifanye kisa Hitler aliwaua wayahudi milioni, basi walie lie. Kanye anadai kuwa mamilioni ya mauaji yanafanyika kila siku marekani mbona hawaongelei? utoaji mimba kupitia taasisi ya Planned Parenthood au "Uzazi wa Mpango" unaua viumbe vya muumba kila siku na hakuna anayeongelea hilo. Kanye ana mengi ya kuwafundisha watu.
 
Wewe na Kanye West ndio kuna mengi ya kuwafundisha, hakuna mlijuwalo dunia hii.

Uliza Rothschild Family, Rockefeller Family, Good Samaritan and likes huyo Kanye na wewe hamjui lolote kuhusu hili.
 
Kanyewest ni genius.. Wao wanasema alafu wao wanasema anamatatizo Ya akili

Lakini yule boss Shoga wa IPhone wanamuita genius.. Ndo wazungu walivyo huwa hawataki Muafrika aoneshe kujua kuliko wao yani.. Wanataka awe chawa wao ndo wampende kwa kifupi wanazingua.. Ingawa sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…