mcshonde
Member
- Jul 15, 2022
- 66
- 154
Kinachoendele kati ya taasisi kubwa/ matajiri "business people" na rapa kanye west kinatafakarisha sana. Kwanza kabisa hivi leo mashabiki wameanzisha kampeni ya kumchangia pesa ili awe bilionea tena. ni mapenzi hayo. Lakini Kanye kakosea wapi? kusema ukweli hadharani kumemponza. Wengi hawapendi kukosolewa. Nimesikiliza interview yake moja anaelezea namna ambavyo wayahudi wasijifanye kuwa wao ndio race/watu walioonewa kuliko wote duniani baada. Wasijifanye kisa Hitler aliwaua wayahudi milioni, basi walie lie. Kanye anadai kuwa mamilioni ya mauaji yanafanyika kila siku marekani mbona hawaongelei? utoaji mimba kupitia taasisi ya Planned Parenthood au "Uzazi wa Mpango" unaua viumbe vya muumba kila siku na hakuna anayeongelea hilo. Kanye ana mengi ya kuwafundisha watu.