Tetesi: Kanzu/Baraghashia - Dear/Mtandio MAVAZI YA TAIFA

Tetesi: Kanzu/Baraghashia - Dear/Mtandio MAVAZI YA TAIFA

MUM ~Morogoro Ndiyo Hayo Utayakuta
Mkoloni Katuachia Suit
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Kama Taifa yafaa kuwa na vazi rasmi la kitaifa. Mchakato ukiamza ila sasa tuumalizie kabla ya 2025
Kanzu, baragashia na baibui na mavazi mengine ya Kiarab ni upuuuzi kuyafanya kuwa mavazi yetu ya taifa. Kama nchi, hatutaki kufananishwa na magaidi, tunapoteza heshima na sifa ya nchi yetu.
 
Aliyeleta wazo la vazi la taifa ni mpumbafu na hajawahi miliki akili,unaletaje wazo hilo kwa nchi yenye makabila zaidi ya 120 na kila kabila lina utamaduni na mavazi yake ya asili.

Nyambafu.
 
Back
Top Bottom