Mtoa Uzi pengine unge tanabaisha faida ya vazi la taifa, maana watu hawajui viapo vya ulimwengu. Ndio maana churches kama catholic viongozi wake wana mavazi yao, wangekua wanavaa vyovyote wasinge piga hatua walifika Sasa ya ushawishi the same kwa waislamu na kanzu. Vipi Charles Hilary akitangaza taarifa ya habari lazimu utamtambua coz ana sauti ya upekee (ID). Hivyo kuwa na vazi la taifa nikutafuta identity yetu tuweze kujipambanua kwenye Dunia Ndio maana tuna nembo ya taifa, wimbo, bendera n.k
Vipi tukiwa na vazi letu, wabunifu wetu watapiga hatua kiasi Gani kwa sababu watazalisha bidhaa hizi ndani ya nchi na ni kanuni ya kwanza ya uchumi ya kuzalisha/produce.
In short hakuna kufanikiwa bila kuwa na utambulisho wako na utambulisho no Moja wa nchi yeyote ni utamaduni, ukikiuka hili utakua kama bendera fuata upepo na utalishwa chochote, na huu ndio tunaita utumwa yaani mtumwa ufikiria kula tu (tumbo).