Kwa mujibu wa wanaisimu, Language is culture-specific. Msamiati wote unaopatikana kwenye lugha yoyote ile huwa ni ‘determined' na utamaduni wa watumiaji wa lugha hiyo!
Kwa mfano, wazungu hawavai kanzu, wala si sehemu ya utamaduni wao kabisa, hivyo hata neno ‘kanzu' kwao halipo.
Ushoga si sehemu ya utamaduni wa Kiafrika, hivyo kwenye lugha zooote za Kibantu, hutokuta tafsiri ya moja kwa moja ya neno la Kiingereza ‘bestiality/homosexuality'.
Kinachofanyika, inapotokea uhitaji wa kutumia neno kama hilo, kinafanyika kitu kinaitwa ‘nativisation'. Kwa hiyo, ‘Kanzu' inabaki kuwa kanzu tu. Eg, He is in a violet Kanzu.