Kanzu kwa kiingereza inaitwaje?

Inategemea unazungumzia kanzu ya nani! kama ni sheikh au judge ni Gown, lakini kama ni Kanzu ya Kasisi (priest) inaitwa ALB inatokana na jina la Ki-ratin lugha ya Kanisa.

Sijui ndio nini hicho! una uhakika na ulichokiandika?
 
Hiyo hapo, nimeitoa kwenye Babylon Dctionary; > A thawb or thobe ( / ALA-LC: thawb), dishdasha ( / dishdashah), kandura ( / kandurah), or suriyah in Libya, is an ankle-length garment, usually with long sleeves, similar to a robe. It is commonly worn in Iraq and Arab countries bordering the Persian Gulf. An izaar is typically donned underneath .
 
Write your reply...bado kwa upande wangu cjaelewa maana ya kanzu ni nini ,na zile wanazovaa waislamu zinaitwaje, tens zingine zinakuwa na kama shati na suruali yake, wahindi ndio wanapenda sana kuvaa
 
Write your reply...bado kwa upande wangu cjaelewa maana ya kanzu ni nini ,na zile wanazovaa waislamu zinaitwaje, tens zingine zinakuwa na kama shati na suruali yake, wahindi ndio wanapenda sana kuvaa
Wewe ziite kanzu tu. Au vyovyote upendavyo, buni jina uonalo linafaa.Tatizo nini?
 
Kanzu inaitwaje kwa kiingereza?
Kwa mujibu wa wanaisimu, Language is culture-specific. Msamiati wote unaopatikana kwenye lugha yoyote ile huwa ni ‘determined' na utamaduni wa watumiaji wa lugha hiyo!

Kwa mfano, wazungu hawavai kanzu, wala si sehemu ya utamaduni wao kabisa, hivyo hata neno ‘kanzu' kwao halipo.

Ushoga si sehemu ya utamaduni wa Kiafrika, hivyo kwenye lugha zooote za Kibantu, hutokuta tafsiri ya moja kwa moja ya neno la Kiingereza ‘bestiality/homosexuality'.

Kinachofanyika, inapotokea uhitaji wa kutumia neno kama hilo, kinafanyika kitu kinaitwa ‘nativisation'. Kwa hiyo, ‘Kanzu' inabaki kuwa kanzu tu. Eg, He is in a violet Kanzu.
 
Majibu mazuri. Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu mazuri. Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli umesubiriwa na umefanya kweli😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…