TANZIA Kaoge afariki dunia

TANZIA Kaoge afariki dunia

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia.

Chanzo cha kifo chake inasemekana ni kushindwa kukubaliana na hali aliyokuwa nayo......( mjiongeze )

Screenshot_2017-11-19-16-38-49-1.png
 
Rest in peace!
Kwa hiyo alicommit suicide au?
Suicide is never an option. Angepambana na hali yake tu.
 
Back
Top Bottom