TANZIA Kaoge afariki dunia

Mungu ni mwingi wa huruma na Neema. Hata wale wezi wawili mmoja wapo aliingia mbinguni kwa sababu alitubu dakika chache kabla ya kukata roho.
Hatujui kama aliomba msamaha na kujipatanisha na Mungu kabla ya kufa sasa tutahukumu vipi.
Tutasema tu marehemu kuna mambo alikua akiyafanya na hayakupendeza ila ya Mungu na hukumu zake hazijawahi kuwa sawa na wanadamu.
Ikiwa dhambi zote ni sawa huenda watu wote tusiingie hiyo mbingu. Asie mzinzi ni Mwizi, asie mwizi ni mwongo, asie mwongo anawaka tamaa n.k
Tumwachie Mungu atatenda kadiri ya huruma na rehema zake jumlisha neema.
Binadamu tunamapungufu ila huhisi wenzetu wanamapungufu zaidi nakuhisi dhambi zetu ni ndogo zawenzetu ni kubwa.
Bwana amejaa huruma na rehema si mwepesi wa hasira.
 
Heeee! Nakumbuka alivokuwa anahojiwa na zama Alikuwa anapenda kusema"zama hiyo haipoga...
 
najiona nini tena mkuu !kwa taarifa yako mie ni pure msukuma sipo hapa kuwakshif wasukuma tunaongelea reality !sasa najiona nn sasa !khaa!wewe ndo wa kwanza kuniambia hilo neno aisee
Mnachukuliana mabwana nn mbona kakuhisi hivyo
 

hali aliyokuwa nayo ipi
 
We ulietoa hii habari, kifo cha shoga waga hakitangazwi, shauri zako yatakayokukuta utajua mwenyewe
 
Hapa ndio nashindwa kuwaelewa baadhi ya wenzetu {wanaume}, hivi mabinti wote waliojaa kweli unakwenda kufukunyua marinda ya men mwenzio na unafurahia kabisa?! Innalillahi wainna ilayhi rajiuun.
hapo sasa yaani ajabu sana
 
Ifike muda sasa sisi wanaume tunaojitambua tuzinduke pamoja na kuwakumbusha wale wenzetu walioghafilika, kuwa haya mambo sio na madhara yake ni kulipwa hapa hapa duniani, ili vizazi vyetu vibaki salama na ufirauni huu upate kupungua nchini mwetu. Hali inatisha.
 
Bado yule Nyamvuto sasa..yule sijui akijijua utampanda kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…