dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Mungu ni mwingi wa huruma na Neema. Hata wale wezi wawili mmoja wapo aliingia mbinguni kwa sababu alitubu dakika chache kabla ya kukata roho.Binaadamu kwa unafki. Eti aende peponi,mara ooh usihukumu. Kama Mwenyezi Mungu aliweza kuuchoma mji wa sodoma na gomora,atawezaje kupindua haki hadi ampeleke mbinguni??
Najua hakuna mkamilifu wala hakuna mwenye haki ya ku hukumu isipokuwa ni yeye tu,lakini huyu kijana na wenzie wenye tabia kama hizi..wachomwe tu na vifuu kibao vya nazi.
Kila siku mnakesha kukemea ushoga,lakini akifa shoga ooh usihukumu..
Unafki on freak
Hatujui kama aliomba msamaha na kujipatanisha na Mungu kabla ya kufa sasa tutahukumu vipi.
Tutasema tu marehemu kuna mambo alikua akiyafanya na hayakupendeza ila ya Mungu na hukumu zake hazijawahi kuwa sawa na wanadamu.
Ikiwa dhambi zote ni sawa huenda watu wote tusiingie hiyo mbingu. Asie mzinzi ni Mwizi, asie mwizi ni mwongo, asie mwongo anawaka tamaa n.k
Tumwachie Mungu atatenda kadiri ya huruma na rehema zake jumlisha neema.
Binadamu tunamapungufu ila huhisi wenzetu wanamapungufu zaidi nakuhisi dhambi zetu ni ndogo zawenzetu ni kubwa.
Bwana amejaa huruma na rehema si mwepesi wa hasira.