TANZIA Kaoge afariki dunia

TANZIA Kaoge afariki dunia

s
Angekula maskin asingeondoka mapema!mkataa pema pabaya panamwita.Funzo wazazi tuwakague na kuwapa watoto wetu malezi bora.
ometimes wanetu wanaiga unakuta mama kashalia mpaka mwisho mtoto ndo ameshakuwa bandidu jamani inaumiza sana unatamani hata ungechoropa mimba
 
s

ometimes wanetu wanaiga unakuta mama kashalia mpaka mwisho mtoto ndo ameshakuwa bandidu jamani inaumiza sana unatamani hata ungechoropa mimba
Wanaiga,lakini mbali na hayo saivi mambo yamebadilika mno wazazi tumeshindwa kuwalinda watoto,tunaachia dada wa kazi ndo awaogeshe watoto kila mara kutwa tunachat hatukumbuki kuwakagua watoto maumbile yao.Last month nilipata kuona mtaani watoto wadogo wanabaashiana yaani wa darasa la nne anambaashia wa la kwanza, na wadarasa la kwanza anawabaashia wale wadogo wa miaka 2! kumbe watoto wanaaga wanaenda kucheza kumbe wanabokoana! Wazazi tuamke tuwe strict kwa watoto na tuwakague pia.
 
Na nyie wanawake hivi kwanini mnapenda kuwa na ukaribu na wasenge na mashoga? Maana sisi tunaojitambua tunavikemea vitendo vyao nyie ndio wanakuwa marafiki zenu wa karibu kuliko hata baadhi ya wanawake wenzenu. Kwanini?? Hamuoni kuwa mnaonekana kama mnapenda vitendo vyao?
 
Kuna video ipo insta umeiona?katoto kadogo maskini kamerekodiwa kanakatika sakafun aisee sasa kakijafanyiwa kitu mbaya wazazi waanze kuhaha wakati wanamrekodi na kuchekelea
Kwa imani uzinzi na ushoga ni tofauti km tunaambiwa'amelaaniwa mwanamke avaaye mavazi ya kiume na amelaaniwa mwanamme avaaye mavaz ya like"sembuse kuliwa nyuma
 
Wanaiga,lakini mbali na hayo saivi mambo yamebadilika mno wazazi tumeshindwa kuwalinda watoto,tunaachia dada wa kazi ndo awaogeshe watoto kila mara kutwa tunachat hatukumbuki kuwakagua watoto maumbile yao.Last month nilipata kuona mtaani watoto wadogo wanabaashiana yaani wa darasa la nne anambaashia wa la kwanza, na wadarasa la kwanza anawabaashia wale wadogo wa miaka 2! kumbe watoto wanaaga wanaenda kucheza kumbe wanabokoana! Wazazi tuamke tuwe strict kwa watoto na tuwakague pia.
dah nachelea kusema hii ni hatari kubwa sana duuuuuuuuuuu kazi tunayo
 
Aulizwe wema maana yeye anawalea kabisa kika anapoenda kuishi anakuwa nao kama kumi hivi. Ila nasikia mashoga sio wachoyo wakijiuza malipo wanagawana na aliyewakuwadia na mambo mengi hwana siri kwa wanawake wanaokuwa nao karibu. Wanajua kuwanyenyekea wanaowafuga
Na nyie wanawake hivi kwanini mnapenda kuwa na ukaribu na wasenge na mashoga? Maana sisi tunaojitambua tunavikemea vitendo vyao nyie ndio wanakuwa marafiki zenu wa karibu kuliko hata baadhi ya wanawake wenzenu. Kwanini?? Hamuoni kuwa mnaonekana kama mnapenda vitendo vyao?
 
Hivi huyu mtu anazikwa kama mwanaume au mwanamke?

Maana alikuwa anapenda kuvaa madera na nguo za kike so na kwenye jeneza atavalishwa nguo za kike au watamvalisha suti.

Binadamu hatutakiwi kuhukumu mwisho wa mwenzetu ila huyu mtu alijua kubishana na Muumba wake maana....

Atakuwa anawapa tabu sana wale waimba mapambia sijui watakuwa wanasema tumvike Kaka/dada maua hatutamuona tena maua...
 
Back
Top Bottom