Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Huyo yupo kwenye himaya yangu....natafuta wapya....unajua samaki wana protini na kalshiam kwa wingi?

Najua hilo....ila protini kwenye samaki si nyingi kama ilivyo kwenye steak au pork chops. Unalijua hilo? Ushawahi kula center cut pork chops wewe?
 
hahahaaa! mkuu, RR = Retired and Retained.........yani Jaji Makame.
 
Najua hilo....ila protini kwenye samaki si nyingi kama ilivyo kwenye steak au pork chops. Unalijua hilo? Ushawahi kula center cut pork chops wewe?
mwambie hii kitu Malaria Sugu, anahitaji zaidi msaada wako.
 
mhh hizi taarabu zinztuharibia wajukuu zetu, mara wataka paja mara koki za maji mmmh tutafika kweli au ??????????
 
Yani Jose anaenda Kwa Kaizer, Afu kaizer anambie Jose kaenda kwake kwa kuwa mimi mambo siyawezi?

Hata kama ni mwenyekiti, msiba waweza tokea maeneo ya Rombo.

Mwanaume mmoja aligundua mke wake anatoka na rafiki yake. Ikawa zogo, alipouliza kwanini mamaa anafanya hayo akajibiwa neno moja tu, "HUNIFIKISHI!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…