Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Leo asubuhi kwenye redio ya kabajaji, wakati nakuja kwa mkoloni:Haka kawimbo ka TOT kalinitafakarisha mengi sana:

Ooooh oooh *****,
Usilie na mimii mamaeee,
Mpenzi wako mimi sijamwita eeeh,
Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu


Yani mtu anakuchukulia kifaa chako afu anakupiga dongo "Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu".

Si kutafutiana ubaya na kesi za mauaji za bure mchana kweupe? Asprin hapendi, anawatakieni wikiendi njema.

Msisahau MALARIA HAIKUBALIKI..:israel::israel::israel:
Kaka mkubwa samahani sana aisee, tafadhali nlkua naomba unisaidie jina la Wimbo Kamili, nimekua nikiutafuta sana huo Wimbo wa muda sana bila mafanikio ama Kwa mtu yeyote ambae atakua nao tafadhali naomba autume tuweze kuupakua
 
Back
Top Bottom