Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Jilaz tena? kumbe ushaacha ushaaacha chama cha inf.........?ThanksMe here jealous:smile-big::smile-big::smile-big:
Senks,ila mkoloni huyu bora wa kwanza.amenikamata kikweli kweli.Ila kunichakachua....kidogo tuu.Karibu tena ZD. Mchumba nilikukosa sana. Hajambo mkoloni? Angalia asikuchakachue. Baba hapendi.
Jilaz tena? kumbe ushaacha ushaaacha chama cha inf.........?Thanks
Senks,ila mkoloni huyu bora wa kwanza.amenikamata kikweli kweli.Ila kunichakachua....kidogo tuu.
Wewe unaanza kurudisha imani ya chama. Ntamwambia mwenyekiti apunguze adhabu yako.
Ayaaaaaaaaaaa! Ishakula kwangu siyo? Umeona kwangu mambo siyawezi?
Tuta-arange practical.unaweza kuwa umesahau......Kwa hiyo nayaweza siyo?
Humu leo watu wanazungumzia chupi na m.a.t.a.k.o tu. sijui kuna nini!Hivi hii sledi inazungumzia matokeo ya jimbo gani vile tena?
..................... Mwenzangu yaani nimechoka mwenyewe.humu leo watu wanazungumzia chupi na m.a.t.a.k.o tu. sijui kuna nini!
hahahaha. mkuu ACID nimekusoma. hommie lango lake la jiji ni njia panda himo pale
Haya mambo yanaanza kama utani mkuu, mara boooomm!! Hommie Asprin ndani ya lango la jiji akichakachua african modern taarabhahahaha. mkuu ACID nimekusoma. hommie lango lake la jiji ni njia panda himo pale