Kapandisha mabega juu baada ya kuwaonya aliowaapisha kuwa wasiyapandishe!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Baada ya kuwaapisha wasaidizi wake ile 2021, akatoa risala kuwa hao aliowaapisha waende huko kwenye vituo vyao vya kazi wakawatumikie wananchi.

Akaonya kwamba hizo nafasi zao wasizotumie kuwapandishia mabega wananchi.

Leo hii yeye ndo ameishia kuyaishi maneno yake hayo.

Sasa basi, mimi sitachoka kutoa ‘ushauri’ ambao sijaombwa.

Kwenye manufaa ya taifa hakuna ulazima wa kuombwa kwanza ndipo utoe Ushauri.

Ni hivi, mambo sasa hivi yanaenda kwa kasi sana.

Hakuna mtu asiyegusika. Yeyote yule anaweza kufikiwa na akaguswa akagusika.

Juzi tumeshuhudia jinsi Ukraine walivyotumia ubunifu wa fikra zao kumtandika Rais Putin ndani kabisa ya Urusi.

Jamaa walitumia teknolojia ya kawaida kabisa na gharama za chini sana na wakafanikiwa.

Pia, mwaka jana tuliona jinsi vile Mossad ilivyoweza kuwafikia maghaidi wa Hizbollah huko Lebanon.

Mwaka 2018 Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro walimkosa kosa kumgusa na drone.

View: https://youtu.be/g3oWs3H3QZQ?si=Z2gN-q_PbbN2IwHI

Hawa watekaji wetu wanatenda kama vile wao hawagusiki.

Haya wacha waendelee na huo unyama wao halafu tuone itavyokuwa maana siku hizi mambo ni kwa remote tu.

Namalizia kwa kusema, kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo…..hakuna asiyegusika.
 
Ongezea na Trump kidogo wamnyofoe sikio
 
Huyo Maduro kweli alionjeshwa!

Halafu security walikuwa kwenye usingizi wa mazoea!

Hao waonjeshaji hawakujipanga sawasawa, lakini kiuhalisia wangelifanikisha bila kikwazo.

Maana alikuwa uchi, hakuna kinga ama ulinzi uliokuwepo kumsaidia.
 
Back
Top Bottom