Kaparatu wa ITV Mbona huwa habadili rangi ya koti?

Kaparatu wa ITV Mbona huwa habadili rangi ya koti?

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
Tangu nimeanza kumwona huyu jamaa akitangaza Habari za biashara mara zote rangi ni ile ile, ni utaratibu wa ITV au?
 
Tangu nimeanza kumwona huyu jamaa akitangaza Mambo ya biashara mara zote rangi ni ile ile, ni utaratibu wa ITV au?
Ila kuna watu mna moyo!!! Yani kabisa flat screen yangu 43 inch nimelipia king'amuzi cha mwezi unaangalia Itv, clouds, starehe tv,chanel ten?????? Hahaaaaaaa aiseeee mm nilishashindwa eti tbc!?? Dah
 
Ila kuna watu mna moyo!!! Yani kabisa flat screen yangu 43 inch nimelipia king'amuzi cha mwezi unaangalia Itv, clouds, starehe tv,chanel ten?????? Hahaaaaaaa aiseeee mm nilishashindwa eti tbc!?? Dah
🤣🤣🤣🤣! Dah...chanel ten eti nikiitazama nahis km inaanua tanga imepoaaa...km ni chanel maalum ya majonzi vile...
Startv nikimis kucheka.

Tbc nikiangalia nakua mtu wa jazba tu had ulcers zinaamka...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah...chanel ten eti nikiitazama nahis km inaanua tanga imepoaaa...km ni chanel maalum ya majonzi vile...
Startv nikimis kucheka...
Tbc nikiangalia nakua mtu wa jazba tu had ulcers zinaamka...
Mkuu unaangaliaga channel zipi?
 
Back
Top Bottom