CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
"KAPASHA HAJJI KAPASHA"
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha amesema tabora kaskazini tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu hatujapata mbunge makini wa kutuwakilisha.
Barabara mbovu, huduma za afya Bora hakuna, maji safi na salama ni shida, hali ya maisha imekuwa ngumu.
TABORA KASKAZINI TUTAONDOKA NA KAPASHA HAJJI KAPASHA.
CHAGUA CUF,
MCHAGUE PROF. LIPUMBA