TABORA KASKAZINI HATUJAPATA MBUNGE MAKINI WA KUTATUA CHANGAMOTO ZETU, NICHAGUENI OCTOBA 28 NIPIGE KAZI
"KAPASHA HAJJI KAPASHA"
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha amesema tabora kaskazini tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu hatujapata mbunge makini wa kutuwakilisha.
Barabara mbovu, huduma za afya Bora hakuna, maji safi na salama ni shida, hali ya maisha imekuwa ngumu.
TABORA KASKAZINI TUTAONDOKA NA KAPASHA HAJJI KAPASHA.