kapata ajira ualimu

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Jamaa kasoma BA.PUBLIC ADM. Ya mzumbe, kalamba ualimu ajira mpya 2012-13, history and civics teacher, anasubiri kuripoti march, ama kweli ajira noma sa si ni bora angepiga education tu. Alifanya application mwaka jana.
 
Anatapatapa huyo hajielewi na wapo wengi wangeshtukia wangeapply kazi hamna kitaa. Bahasha za kakhi zinaisha tu na soli za viatu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bt jamaa kanipa evidence kwenye net sema yeye kacheza dili na wakulu.
 
Anatapatapa huyo hajielewi na wapo wengi wangeshtukia wangeapply kazi hamna kitaa. Bahasha za kakhi zinaisha tu na soli za viatu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mbona unajichanganya? unasema anatapatapa hajielewi tena wewe mwenyewe unakiri kwamba kazi hakuna kitaa sasa tukueleweje?. Asiejitambua ni yule anaemaliza sori na bahasha akitafuta kazi wakati kazi zipo nyingi tu.
 
Bt jamaa kanipa evidence kwenye net sema yeye kacheza dili na wakulu.

Hakuna cha kucheza dili wala nini kama kweli kacheza dili basi kaliwa tu coz huo utaratibu upo wazi kabisa nakumbuka mwaka 2009 matangazo yalitolewa kwenye vyuo vikuu kwamba mwenye bachelor yeyote ile anayetaka kua ticha atume maombi wizara ya elimu.
 
mkuu acha kutuzalilisha walimu bana,ina maana kusoma kote ualimu miaka mitatu bt bado kuna manjemba yenye bachelor tofauti tunaajiliwa nayo,inauma sana mi nimeumia sana,utashangaa huyu mwenye public adm.anapewa kitengo cha uongozi manispaa mi choka san.
 
Sio mimi mkuu ndivyo utaribu ulivyo.na hao watu wanaoajiriwa bila kua na shahada au dip za ualimu wanapewa muda ndani ya miaka 3 wawe wamepata either master au postgraduate dip in ed. bila kufanya hivyo basi ajira zao zinafutwa
 
Yaani walimu haswa waliosomea ualimu wengine hawajaajiriwa.mwenye public administr kaajiliwa.only in tz
 
Hili ndio taifa la wadanganyika walimu wengi tu hawajapata ajira jana wakaenda wizarani wakaambiwa hawaf ai kufundisha seconda ry kisa walichukua somo 1,bado sijaelew a wizara ikawaambia waende adult educati on dept ndo wanajua hatma yao...hawa ni wale wa udsm BED ACE.
 
Jamaa kasoma BA.PUBLIC ADM. Ya mzumbe, kalamba ualimu ajira mpya 2012-13, history and civics teacher, anasubiri kuripoti march, ama kweli ajira noma sa si ni bora angepiga education tu. Alifanya application mwaka jana.

Hongera zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…