Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatapatapa huyo hajielewi na wapo wengi wangeshtukia wangeapply kazi hamna kitaa. Bahasha za kakhi zinaisha tu na soli za viatu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Bt jamaa kanipa evidence kwenye net sema yeye kacheza dili na wakulu.
Hakuna cha kucheza dili wala nini kama kweli kacheza dili basi kaliwa tu coz huo utaratibu upo wazi kabisa nakumbuka mwaka 2009 matangazo yalitolewa kwenye vyuo vikuu kwamba mwenye bachelor yeyote ile anayetaka kua ticha atume maombi wizara ya elimu.
mkuu acha kutuzalilisha walimu bana,ina maana kusoma kote ualimu miaka mitatu bt bado kuna manjemba yenye bachelor tofauti tunaajiliwa nayo,inauma sana mi nimeumia sana,utashangaa huyu mwenye public adm.anapewa kitengo cha uongozi manispaa mi choka san.
Jamaa kasoma BA.PUBLIC ADM. Ya mzumbe, kalamba ualimu ajira mpya 2012-13, history and civics teacher, anasubiri kuripoti march, ama kweli ajira noma sa si ni bora angepiga education tu. Alifanya application mwaka jana.
mtoa hoja ni MUONGO na MZUSHI