Kapata mchumba anaeishi Marekani

Jamaa anadai yeye ni diplomat anafanya kazi karibu sana na obama halafu kamkataza rafiki yangu kamwe asijarikumtumia msg labda kubipu tuu eti msg huwa zinachunguzwa ofisini kwao kisa yupo ofisi moja na obama

The POTUS' office is the Oval Office which is located in the West Wing of the White House. And for all I know no one shares that office with the POTUS!

So how in the hell does that self-proclaimed diplomat say he shares the same office with Obama? One has to be incredibly gullibe and stupid to believe such a bold-faced lie.

View attachment 41720

There is Obama in the Oval Office. Is that where Mr. Diplomat works too?
 
Huu ujiko wa kuwaringia wenzenu kuwa, "Mchumba angu yuko Marekani" unawatokea wengi puani, kuna mmoja alijikuta anazeeka na jamaa kila siku anamdanganya kuwa atamtumia tiketi............... Mpaka leo bado anasubiri atumiwe tiketi na ameshafikisha 40!

Sasa kama ni ukweli kuwa mchumba wa mtu yuko Marekani kwa nini asiseme, unataka aseme yuko Bagamoyo au wapi sasa??
Matapeli wa mapenzi wapo sehemu zote tu hata Igunga, cha msingi ni mtu ku trusts Instincts zake tu

Na nyie washkaji mlio abroad kuweni na ubinadam bwana siyo kuwagandisha wenzenu wakati hamna mpango nao hizo ni swagger za zamani wazee.
 
Sasa huyo pepekalee anae fanya kazi white house alikuja kujaje huku bila kuwa na master card hadi aanze kukopa vijisent kwa huyo mdada?
 
Sasa huyo pepekalee anae fanya kazi white house alikuja kujaje huku bila kuwa na master card hadi aanze kukopa vijisent kwa huyo mdada?

Wafanyakazi wa WH lazima wawe na MasterCard?
 
Huu ugonjwa wa americanism ni mkubwa kuliko unavyodhani! Watu wako busy na kutafuta online frnds,sio wanawake wala wanaume! Huoni bado current hubby wa shost anapaishwa 'anaenda marekani kama kkoo'? Yaani walau akienda marekani yeye inatosha kuchapia fimbo saluni!
 

Marekani iko juu.

Siku hizi bongo hata tahajia za Kiingereza tumeanza kutumia za Kiingereza cha Marekani na si kile cha Bi. Mkubwa.

Badala ya kuandika 'centre' watu siku hizi wameanza kuandika 'center'. Au badala ya 'flavour' watu wanaandika 'flavor'. Badala ya 'colour' watu wanaandika 'color'.

Marekani oyeeeee.
 
He might be the one hovering and dusting the floors. Isn't that same as sharing the ofc with mr big man? Since mchuchu works at night and obama works dayshift,lol
 
He might be the one hovering and dusting the floors. Isn't that same as sharing the ofc with mr big man? Since mchuchu works at night and obama works dayshift,lol

Uummm...I don't think so....lol
 

She is practising creative writing. This is a prototype of a fiction story.
 
Hahaha! Go ahead make my week,kha!
Kingereza chenyewe hatujui for starters, seuze tofauti kati ya flavour na flavor? Hujakutana na flava wewe! Bongo juuuu!
 

kishyndindo we ni mmarekani?
 
Lol! Ushatamani blouse 2 na sarawili 1 na simu ya kichina! Beware, huyu atakuambia umlipie movenpik!

dah! Sijatamani mkwe, bora nikachague za jelo jelo kkoo kuliko kudanganyika na za marekani. Lol.
 
Oh pole asa lolly we ulipogaiwa hiyo simu umeendelea kutumia namba ileile? Huyo mmarekani anapataje mawasiliani na huyo happly married woman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…