Kapata mchumba anaeishi Marekani

Kapata mchumba anaeishi Marekani

Victoria's secrets na bath and body works. Ila ukija hotel unalipia mwenyewe or else my servant's quarter itahusika!
We unapenda Victoria's Secret au Frederick's of Hollywood?
 
daah! Ati jamaa anaenda marekani kila mwezi..kumbe nalo dili?
 
Dada zetu na nyie kila siku mnaambia kuwa mume bora hapatikani ktk key board lakini hamu amini kabisa. Na hii tabia ya kuwaamini sana wanaume kutoka USA hadi kuwavulia chup.i bila kutafakari ni kijiweka cheap kuliko bei ya chumvi. Maisha Popote Mambo ya kusema ukimpata mchumba wa kimarekani ndio unakuwa umewini ni upotofu wengine ni Mashoga Huko Dah.
 
Sasa kama ameshaolewa sisi tumsainie nini?
Angekuwa hajaolewa hapo sawa, sasa hv anachotakiwa kufanya ni kumshirikisha mume wake na siyo wewe kuendelea kumshauri toka gizani.
Inawezekana ukwa mshauri mzuri kwa wasichana wasioolewa lakini ukawa si mzuri katika kushauri wenye ndoa zao.
 
Dada zetu na nyie kila siku mnaambia kuwa mume bora hapatikani ktk key board lakini hamu amini kabisa. Na hii tabia ya kuwaamini sana wanaume kutoka USA hadi kuwavulia chup.i bila kutafakari ni kijiweka cheap kuliko bei ya chumvi. Maisha Popote Mambo ya kusema ukimpata mchumba wa kimarekani ndio unakuwa umewini ni upotofu wengine ni Mashoga Huko Dah.
hata huyo nilikua namashaka nae ni shoga. Shoga hiloooo
 
Dah, kumbe dada/mama zetu, U-marekani ni biG deal?? Nimeshangaa sana kuanzia kwa Mhusika mkuu mpaka kwa Mwandishi.. ..
 
Hawa wanaume wanaopenda sana kujisifia siku zote wana matatizo ,Si ukae kimya mtu aone mwenyewe ,hivi mtu kama una vijifedha vitajificha ???Huyo dada ampotezee huyo jamaa mwisho atajiona mjinga ,,,,
 
Back
Top Bottom