Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe.
Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6.
Bahati mbaya wakiwa kwenye malavidavi ya utangulizi (romances) demu akagonga kichwa (kidogo) kwenye mguu wa kitanda (Ni vile vitanda vya mbao ambayo miguu yake imetokeza kwa juu). Dada hakuomba maji, akaenda peponi papo hapo!
Wanasheria na wajuvi wa mambo toeni mawazo, mwanetu yamemkuta akiwa katikati ya kazi.
Ni nini mwanetu afanye kuukwepa mkono wa jela?