Kapombe ana mengi ya kujifunza Kwa Dickson Job

Bacca ni mzuri mana anajitahidi kuruka. Lilikuwa ni suala la muda tu. Ila bado ana papala ya ku-clear kwa kubutua tu. Ajifunze ku-clear kwa kuanzisha kaunta ataki.
 
Tanzania Bado bando bei yake ni rahisi sana pengine mamlaka iongeze asilimia 300 hii itasababisha WIFI zinazotumika hovyohovyo na mleta mada kuwekewa masaa na kikomo,maana ungenunua bandle usingeandika uozo kama huu.
 
Hiyo timu siku ikipigwa nyingi mtakimbiana humu.Uganda Crane ya akina Okwi mnamaliza maneno yote.Thread zimekuwa nyingi za kuwaponda wachezaji walioachwa mara sijui Fei toto bonge.Hii Nchi Ina watu wa hovyo Sana.
 
Dg anajua .....Yanga sijua walimuona vp
 
Tanzania Bado bando bei yake ni rahisi sana pengine mamlaka iongeze asilimia 300 hii itasababisha WIFI zinazotumika hovyohovyo na mleta mada kuwekewa masaa na kikomo,maana ungenunua bandle usingeandika uozo kama huu.
Tanzania ni nchi ya ki loyal sana mkuu ..... endelea kuinjoy + kupiga kaz
 
Hiyo timu siku ikipigwa nyingi mtakimbiana humu.Uganda Crane ya akina Okwi mnamaliza maneno yote.Thread zimekuwa nyingi za kuwaponda wachezaji walioachwa mara sijui Fei toto bonge.Hii Nchi Ina watu wa hovyo Sana.
[emoji23][emoji23]
 
sio mara ya kwanza dick kucheza namba 2 nabi kamchezesha sana namba hiyo
 
Duniani maajabu hayaishi, ukiangalia viwango vya wachezaji wa makolo halafu wamefika robo fainali huwezi acha kushangaa
 
Walipata bahati ya kupata kundi mseleleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…