Kapombe ana mengi ya kujifunza Kwa Dickson Job

Mlinzi wa Timu ya Taifa Stars, Dickson Job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo kati ya Tanzania dhidi ya wenyeji Uganda The Cranes uliopigwa katika dimba la Suez Canal, Ismailia Misri.
Mchezaji wa mechi moja dhidi ya Uganda vs Mchezaji wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa kwa mechi zote za raundi ya Tano
 
Mchezaji wa mechi moja dhidi ya Uganda vs Mchezaji wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa kwa mechi zote za raundi ya Tano
Tunaangalia hyo Ligue ....amekutana na timu gani
 
Tunaangalia hyo Ligue ....amekutana na timu gani
mmoja na wachezaji wa Uganda (akina Aucho), mwingine na wachezaji wote wa timu zote zilizocheza raundi ya tano ya CAF Champions League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…