Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mchezaji wa mechi moja dhidi ya Uganda vs Mchezaji wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa kwa mechi zote za raundi ya TanoMlinzi wa Timu ya Taifa Stars, Dickson Job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo kati ya Tanzania dhidi ya wenyeji Uganda The Cranes uliopigwa katika dimba la Suez Canal, Ismailia Misri.