Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Haijui dunia πŸ˜‚πŸ˜‚
Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao
 
Na bora hata angekuwa anapambana na hao wanaoitwa mabeberu tungesema labda kichaa chake kitasaidia watu wake.

Tatizo anataka kuminya watu wake mwenyewe.

Kama sera zake nzuri sana, kwa nini asikubali ushindani na kuzinadi watu wazielewe, kwa nini anapenda kutumia hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja?
 
Hii ni Africa, labda udongo wa Africa una tatizo kqenye mfumo wa akili
 
Milele kwani hatakufa?
 
Magufuli alikuwa dikteta hili ni suala lililo wazi kabisa kama ambavyo Samia naye ni dikteta sasa.
 
Usitake maoni ya watu wengine.Wewe angalia ukweli tu wa alilosema Ibrahim Traore ambalo mimi nimeliona karibu miaka 20 kabla yake.tangu niko shule.
 
Sitaki kuamini traore haijui Dunia kiasi hicho.....

Huyu anataka kuulinda umri wake madarakani na hatoboi, anataka kutawala miaka 40 buknabe kwasasa anaumri wa miaka 36 +40 #70yrs
 
Mbona hapa kwetu hiyo demokrasi hakuna na bado hatuendelei..
 
Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao
Nani mwenye dunia na hiyo rimoti.
 
Waafrika wengi mnapenda mijeledi kama punda, na huyu ndivyo anavyotaka kuwapiga.

Na ni sawa tu, kwa sababu ndiyo mnavyopenda.

Hiyo nayo ni demokrasia pia.
Mkuu hiyo ni gia yake ya kukaa pale. Ndiyo maana asemi ya kidikteta anatumia neno mapinduzi
 
Umenichekesha sana.
England, France, Holland ,Russia, Spain na Italy hizi zote zilitawaliwa na wafalme huko nyuma na bado England, Spain na Holland zinatawaliwa na wafalme hadi sasa bila kusahau UAE nchi zake hazifuati demokrasia na zimeendelea tukienda Canada, New Zealand na Australia hizi ni dominion za King Charles na zimepiga hatua.

Naungana na Rais wa Burkinafaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…