Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mwafrika halisi!Wadau hamjamboni nyote?
Pichani ni Kapteni Mabior Garang akiwa amesimama nje ya nyumba ya Mama yake huko maeneo ya Jebel karibu na Mlima Kunjur
Mabior ni mtoto wa Muasisi wa Taifa la Sudan Kusini hayati John Garang aliyefariki kwa ajali ya helicopter akitokea nchini Uganda
Mabior amewahi kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwamo uwaziri
Niwatakie usiku mwema
View attachment 2955859
Watu ni warefu ila ni meusi kishenzi.Ila sudani kusini 🤔
ni sawa?Watu ni warefu ila ni meusi kishenzi.
Anasukuma mmea huyu
Sawa nini?ni sawa?
Jamaa amekula malapa hana habari... Hizo protocol mnazijua wenyewe...... 🤣
Halafu suti kaunda ya bluu na malapa meupeJamaa amekula malapa hana habari... Hizo protocol mnazijua wenyewe...... 🤣
Mwamba kala chachacha mguuni mbele ya magu na wala hajali