Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini kavaa makobasi?
Umewahi sikiliza mahojiano yake akifanya na waandishi wa habari?.Mwamba huwa namkubali sana, anajali mambo yake tu mengine sio shida zake.
Wadau hamjamboni nyote?
Pichani ni Kapteni Mabior Garang akiwa amesimama nje ya nyumba ya Mama yake huko maeneo ya Jebel karibu na Mlima Kunjur
Mabior ni mtoto wa Muasisi wa Taifa la Sudan Kusini hayati John Garang aliyefariki kwa ajali ya helicopter akitokea nchini Uganda
Mabior amewahi kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwamo uwaziri
Niwatakie usiku mwema
View attachment 2955859