Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mkuu wala usihangaike naye, Karma ipo, hizi kejeli za jamaa ni kama za kina Jenista enzi wakiwa bungeni, anawalaumu waliouwawa badala ya aliyewaua.Kwa nini watoto wauliwe kipumbavu? Kwa nini muwauwe? Anayeua kwa nini awaue? Wewe ni mjinga kupindukia.
Hilo kundi la M23 lilikuwepo kule Kibiti mbona Kapteni Tesha hakuungana nao? wanaJeshi wa JWTZ hawakuchaguliwa kujiunga na jeshi kiboyaboya kama unavyodhani. Usidhani wanajeshi wa JWTZ hawajui dunia inakwendaje.Kapteni Tesha ni sauti ya waliowengi Jeshini, hapo kinachosubiriwa ni nafasi (opportunity), kikitokea tu kikundi kma cha M23, utaona wimbi la uasi litakavyo tokea na kuungana na hilo kundi, hapo bado wananchi hasa waliopoteza ndugu zao…
Ila watu wenye homa ya akili mnachekesha sana!! Sasa wewe kidampa tena anonymous unamtishia mtu kumuweka kwa ignore list? Halafu aathirike na nini? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣congratulation stupido! Guess what! You've been added on my ignored list!! So long sucker!
Wasiwasi wangu sio maandamano. Bali namna yanavyokuwa organised. Kuandamana ni jambo moja lakini matokeo ya maandamano ni jambo jingine.Sahihi - Ila siumsikia GEN Z wanataka kurudi tena !
Ila watu mnachekesha sana!! Sasa wewe anonymous unamtishia mtu kumuweka kwa ignore list? Halafu aathirike na nini?
Povu la nini?Mimi nimeandika yanayoungwa mkono na jeshi kabla ya MO29......Ukweli ni kwamba Tz haifanani na Congo, Sudani, Somalia, Ethiopia, Kenya, Burundi kwa utulivu kwasabu ya kazi ya majeshi yetu. Kazi ya kulinda nchi, watu na mali zao inaweza kuhusisha kung'oa magugu na visiki kwa kadiri watakavyoona inafaa. Hakuna taifa hata moja ambalo halina vibaraka, watu walionunuliwa. Ndiyo maana ya ule msemo wa mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi. Miongozi mwetu wako watu ambao kwa maslahi ya wengi lazima wao wakae pembeni kwa gharama yoyote ile.
Mfano, wale "waandamaji" kama wasingesimamishwa kwa njia ile wangeenda kuharibu wapi na wapi mpaka wapi? Je, unadhani kuwa wasingefika hadi kwenye kambi za majeshi? wasingefika kwa mkuu wa majeshi? wasingefika Ikulu? na huko kote wangefanya nini kama wangefika?. Vitu walivyoharibu hazikuwa kodi zetu sisi wote? Je, Samia anatumia usafiri wa SGR au mwendokasi? Je, kama vituo vyoote vya polisi vimeungua usalama wetu dhidi ya majambazi na wezi huko mitaani ungekuwaje? Je, Lake group hawalipi kodi TRA? watanzania wangapi wamepata ajira Lake group?
Ukweli nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi kabisa.
Kama ulikuwepo na ulishuhudia Polisi na kile kikundi kikilenga na kuua waandamanaji, mbona wewe hujauawa? Wala hujajeruhiwa?Nilikuwepo na nilishuhudia polisi wakilenga waandamananji na kile kikundi kisichokuwa na sare sijaona mwanajeshi akimpiga silaha mwananchi na tumepiga nao stori usiku wa tar 1
Inasikitisha sana kwakweli,wametumia uongo mkubwa sana kuwajaza vijana hamasa na kuingia roadWananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.
Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.
Hii haina tofauti na Kinjekitile Ngwale alipowahamasisha askari wake na wananchi kuwa wajitokeze kwa wingi kwenda kupigana na wajerumani kwakuwa risasi za adui zitageuka maji kabla hazijatua kwenye miili yao.
Ukweli ni kwamba risasi za wajerumani hazikugeuka maji hata kidogo.
Ukweli ni kwamba jeshi la JWTZ halikuwa nyuma ya wajinga wale na waandamaji wengi walikiona.
View: https://youtube.com/shorts/SOC50V3Ar1Q?si=Bo1TmY9Jh_XGX-uZ
Ndio madhara ya kudharau mambo seriousMimi mwenyewe niliweka Uzi kule X kabla ya 29/10
Watoto wadogo wakasema Mimi Chawa
Guess what?
Waliuliwa Kama Kuku mbele ya jeshi lao