MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Niko tayariMkuu, kama watu wataazimia, miongozo itakuwepo. Watu huwa wanasema ugonjwa huwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari; lakini inapotokea mgonjwa kuweka ugonjwa wake hadharani; hapo jamii inatakiwa ifanye kitu