Mkuu, kama watu wataazimia, miongozo itakuwepo. Watu huwa wanasema ugonjwa huwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari; lakini inapotokea mgonjwa kuweka ugonjwa wake hadharani; hapo jamii inatakiwa ifanye kitu
Ni wazo zuri kama itatekelezeka; ingawa kutakuwa na maswali, je, itawahusu wale wachangiaji tu; au yeyote katika jamii atakayekuwa na tatizo litakaloshika mioyo ya watu?